Kisimu Changu Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2019
Lyrics
Kisimu Changu - Mzee Wa Bwax
...
ookay chuma kwa chuma Cheche!! amini kwamba mzee wa bwax hapa mtoto wa nje ya ndoa
oohooooo....!! wenasema kisimu changu laini mbili kinanisave bhana wejapokuwa kidogodogo kinanisave bhana we manyau kisimu changu laini mbili kinanisave bhana we japokuwa kidogodogo kinanisave baba
ati!!! masela tambo hilo machizi boti simu hiyo ah new life tambo iloo jack umeme simu iyoo nasema ukichukua simu ya bwax na mziki utazimwaa ..na sema ukichukuwa simu ya wajibu na mziki utazimwaa
usinishike nimelewa jumanakala nimelewa usiniguse nimelewa nawashawasha nimelewa machizi boti...we wanangu nafikiria mwanenu niache pombe eeh!! we Brazil nafikilia mwanenu niache ganja ×2
nikisema niache pombe ah nitakunywa nini na nyie!!! nikisema niache ganja nitavuta nini na nyie!! we masela!! we viroba tupa kule sikuizi mwendo wa safari ×2
usinishike nimelewa !! wanangu nimelewa msiniguse nimelewa machizi boti nimelewa !!!..
repeat..
amini kwamba mzee wa bwax hapa mtoto wa nje ya ndoa ah jack umeme anakusalimia blaza abuu tariq we Lita madini mtoto wa marekani ahtaita bwana chaboli habarii ndo iyooo chapaaa ..
basicheza kama wajibu juma maasi (kama wajibu) tikitaka (kama wajibu)sondo (kama wajibu)we msuva (kama wajibu) kama wajibu ..tikitaka kama wajibu ..chuya baba kama wajibu samata kama wajibu we kunjuka kama wajibu we chirunda kama wajibu basi cheza kama wajibu medy kagere kama wajibu we na pogba kama wa jibu wekaaaa basi ruka kama wajibu saidi ndema kama wajibu tikitaka kama wajibu mkude baba kama wajibu basi cheza kama wajibu shabalala kama wajibu basi ruka kama wajibu ah professional tekinenga achujii amini kwamba mzee wa bwax mtoto wa nje ya ndoa ugoko wa mende biscuti ya chuma ah kataa tuone ...
lyrics by only_summerellah_tz
+255744872576 whatsup