Mungu Anakumbuka Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Mungu Anakumbuka - Guardian Angel
...
mungu anakumbuka! kumbuka
licha ya kuomba
kuna mambo bado hajabadiika .
umefunga umeomba kuna mambo bado yazidi kwama*2
kazi aliyo ianza ndani yako wewe ataimaliziah
amekuleta mbali uuh Ye n mwaminifu
aezi kuachilia
Mungu anakumbu kumbuka
ahadi zake kwako wewe*2