Touch Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2021
Lyrics
Touch - Queen Darleen
...
Basi gusa changu kiuno nami nitulie
Bila mfupa navyokata lazima usimulie
Weka nukta shika hapa na mimi niugulie
Kama guta sema popote mwenzako nikalie
**********
Naitakasa nafsi na roho Darling
We ndo yangu kabari kwa wengine sina habari umenionjesha asali
Nimewaka ka kibatari uno hadi juu ya dari
Niongezee konge na gari kandamiza huo msumari
**********
Mi napenda ukinishikaga eeeeeh unanitouch touch eeeeeh
Unanimaliza eeeeeh sema nikushike wap eeeeeh
Mi napenda ukinishikaga eeeeeh unanitouchtouch eeeeeh
Unanimaliza eeeeeh sema nikushike wap eeeeeh
**********
Kwako nimekuwa zuzuuuu
Tena siwezi ganduka
Sijui umenipa jujuuuu
Nikikuona napadwa mizuka
Mi nasema wazi wazi mwenye wake aje amchukue
Utamu wa wali nazi
kasema vya ndani nisisimulie
Meli weka nanga mi ndo wake mahabuba
Siendi kwa mganga sijawahi kumroga
**********
Naitakasa nafsi na roho Darling
We ndo yangu kabari kwa wengine sina habari umenionjesha asali
Nimewaka ka kibatari uno hadi juu ya dari
Niongezee konge na gari kandamiza huo msumari
***********

WASAFI RECORDS