Mwaminifu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Mwaminifu - Guardian Angel
...
....
Mwaminifuu Timilifu Kamilifu Nani kama wewe
Mwaminifu Timilifu (timilifu) Kamilifu Nani kama wewe
Liwe hili liwe lile,mi najua we u mwaminifu
Waseme hivi waseme vile,mi najua we u mwaminifu
Wavumilivu tutakula mbivu,kwa wema wake Mungu
Hanaga wivu Mungu mwaminifu,huyu mungu mwenye nguvu
Wavumilivu tutakula mbivu ,kwa wema wake Mungu
Hanaga wivu Mungu mwaminifu,huyu mungu mwenye nguvu eeeey
Mwaminifu(aaah) timilifu kamilifu nani kama wewe
Mwaminifu timilifu kamilifu nani kama wewe
Nikulinganishe na nani bwana...Mungu wangu
Matendo yako yanashangaza wee
Nikulinganishe na nani bwana...Mungu wangu
Uzuri wako unajiuza oooh
Mfalme wa amani
Bwana wa mabwana
Mungu wa majeshi...nani kama wewe
Mfalme wa amani
Bwana wa mabwana
Mungu wa majeshi...nani kama wewe eeeey
Mwaminifu timilifu kamilifu nani kama wewe
Mwaminifu timilifu kamilifu nani kama wewe
Hakuna mja wakutaja we ukakataa
Maana neno linasema omba na we itapata
Ukibisha subiria mlango utafunguka
Neno lako nmejaribu ni la kweli hakika
Basi mwisho wetu
ni chanzo cha Mungu
Na njia za Mungu sio kama zetu