My Sunshine ft. Miriam Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Waah...
Siku imeisha...
Wiki imekatika...
Mwezi ingine imeingia
Mwaka mpya tumeingia...
Ni siku mingi joh hatuja onana
Kila siku nakuwaza
Niki hope vitu zitakuwa poa soon
But all i can just tell you is just be strong
Najuwa tutapatana ivi karibuni
Juu kila kitu ni God amepanga
Cheki...
Miaka tano zimepita si ndo tulipata
Wakati nilikuwa nasaka tu manzi anaweza nipenda
Wakati kila manzi nilikatia alikataa vako zangu
Niliomba mungu daily joh anilete malaika
Manzi mrembo ako na figa na tabia nzuri (Joh)
Manzi ametulia hana mambo na si wa kuranda randa
God aka nichambulia brandy aka mleta kwa life yangu
Morio uskii sijawai penda manzi hii design before
Sometimes mi hu feel nikama naweza chizi
Kwanza sai vile ako far joh na siko karibu kumlinda
Na mrespect sana ju alinipenda nikiwa nime parara (Walai)
Nilikuwa nime beat na nilikuwa niki vaa
tu ngotha moja God alitu bless manze tuka create life tukiguzana
Naku respect sana kwanza ju uliamua kunizalia
Ulinizalia na sai umenifanya naitwa baba (Marsha)
Sijui naweza kufanyia nini joh nikurithishe
I promise you forever nita stick kwa life yako (True)
Sitawai kuwacha we ndo kila kitu kwa life yangu
More than a wife you're my life aki walai sijawai penda manzi hii design before
You're my sunshine in the morning
Without you I'm nothing
You deserve everything good
You deserve everything good
Life has to offer
Life has to offer
I love you today,tomorrow and forever
I love you today,tomorrow and forever
I'll forever cherish you all the days of my life
Mapenzi true inakujanga tu mara moja
Na ikikam nipoa ukiwa na mtu muna ifeel
Huyu ndo manzii nadai kufunga na yeye ndoa
Juu nikitembea na yeye mtaani sijawai skia kuna morio amewai mkula
Mtoi wa martha file yake ni safi history yake huwa ina nibamba
Yeye pekee yake ndo anaweza nifanya mi badman joh nilie
Wengi wanabonga mbaya manze joh kutuhusu
Aty mtu wako uko joh lazima ikuwe anakucheza
Kwani ni madem wangapi wazuri nime waona.?
Lakini wewe tu ndo unakuwanga ume ni maliza
Usiwaskize kelele ya chura watiaji hao
Wanadai tuachane manze joh ndo wazidi kutubonga
(Cheki) Ha!ha! Hatuwapei nafasi joh kamati ya roho chafu
You're always on my mind every second of my time
Nikiwa solo kwa room yangu daily nakuwanza Sikuwachi kwa
Hii journey mi ni real man in your life
(Baby) I'll always be there anytime you need me
(Baby) Anytime you feel lonely please dont wait to call me
(I promise) I'll never make you make more than 7 missed calls
nitakuwa apo nikuskize kwa kila kitu utasema
Siri zako nitazitunza hautaskia
na mtu yeyote nakupenda sio siri aty mi nitaificha
Mtoi wako nitamtunza fiti hatawai teseka
Nakupenda vishenzi mi kwako baby uski nimechizi
My love for you grow stronger today than yesterday
Kwangu we ni ka mimea lazima joh nikutunze
Nasaka hii maganji joh ndo nikuweke fiti
Ukule poa, uvae vizuri, na ulale place poa
Na pia staki kuona machozi kwa macho yako
Coz for your love baby mi nisha jituma
Love you baby
Forever you'll always be in my heart
Always keep it real
Love you my queen