Ganji Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Ganji
Izeni joh nime wafichia
Ka si ganji hatuwezi patana
Time is money
Hapa na pale niko shughuli
Si aty nini nikujituma
Niite nipsey vile na hustle
Napenda ganji bro
Ka si ganji usiniite form
Siwezi kuja ka hamuwezi chuna
Me ni buda na muwezi ni chuja
Napenda ganji bro
Usipoteze muda ukifuata huddah
Choka ukisaka kama punda
Niko sure uwezi dunda
Napenda ganji bro
Ka si ganji usiniite form
Siwezi kuja ka hamuwezi chuna
Me ni buda na muwezi ni chuja
Napenda ganji bro
Usipoteze muda ukifuata huddah
Choka ukisaka kama punda
Niko sure uwezi dunda
Ganji ni fiti mi sikufichi
Cheki vile mi na hisi
Dem na mtaka nampiga miti
But asikuwe amevaa kamisi
Nipate mjengo na inua simiti
Nilitemwa siko kamiti
Ukiwa na ganji waezi kulenga
Wataku mark ka calender
Ganji vile mi nakupenda
Ile area uko mi nita enda
Niko na vitu mingi za kutenda
Unahepa mbona unanitenda
Cheki vile daily nakusaka
Atleast per day siwezi joh kuhata
Kwa life yangu joh una matter
Unajuwa mi siwezi joh kuacha
Checki ganji bro
Ka si ganji usiniite form
Siwezi kuja ka hamuwezi chuna
Me ni buda na muwezi ni chuja
Napenda ganji bro
Usipoteze muda ukifuata huddah
Choka ukisaka kama punda
Niko sure uwezi dunda
Napenda ganji bro
Ka si ganji usiniite form
Siwezi kuja ka hamuwezi chuna
Me ni buda na muwezi ni chuja
Napenda ganji bro
Usipoteze muda ukifuata huddah
Choka ukisaka kama punda
Niko sure uwezi dunda
Sipendi kwa bank vile unalala
Ukishikwa kwanza na watu wa tala
Achana na hao joh mafala
Come kwangu mi nataka joh kung'ara
Cheki vile mi hukukamata
Nina stress joh nisipo kupata
Kila mtu walai joh anakutaka
Roho zetu joh ume zi capture
Cheki vile huwa tunakusaka
Chakula tuko sure tunapata
Kam kwangu daily nakuwaza
Kuna biz joh nafaa kuanza
Zero ako na chuki joh na doh
Me nakupenda more and more
Nikitembea na we mi huwa makini
Ulisha nitoa kwa umaskini
Look safi nimepiga clark's chini
Alafu dem amepiga mini
Hujawai niangusha nakuamini
That's why sipendi straa za dini
Cheki ulifanya nianze mziki
Najuwa uko na wengi mashabiki
Walai mi huwanga nimekudedi
Siku haishi ka sijaku medi
Heri nikose joh ku steady
But nidoz nikijuwa sina deni
I'll always big up joh your maker
For my life umenitoa joh kwa danger
Kwako sikuizi me si stranger
Mi naku hunt kama ninja
Wanaume wanapiga udaku obinja
Juu yako ganji umetushinda
Cheki Ganji bro
Ka si ganji usiniite form
Siwezi kuja ka hamuwezi chuna
Me ni buda na muwezi ni chuja
Napenda ganji bro
Usipoteze muda ukifuata huddah
Choka ukisaka kama punda
Niko sure uwezi dunda
Napenda ganji bro
Ka si ganji usiniite form
Siwezi kuja ka hamuwezi chuna
Me ni buda na muwezi ni chuja
Napenda ganji bro
Usipoteze muda ukifuata huddah
Choka ukisaka kama punda
Niko sure uwezi dunda
Napenda ganji bro
Ka si ganji usiniite form
Siwezi kuja ka hamuwezi chuna
Me ni buda na muwezi ni chuja
Napenda ganji bro
Usipoteze muda ukifuata huddah
Choka ukisaka kama punda
Niko sure uwezi dunda
Napenda ganji bro
Ka si ganji usiniite form
Siwezi kuja ka hamuwezi chuna
Me ni buda na muwezi ni chuja
Napenda ganji bro
Usipoteze muda ukifuata huddah
Choka ukisaka kama punda
Niko sure uwezi dunda