Better Life Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Yoo cheki
Better life
Daily hii ndo ina nirausha
Kila ngware kuingia wera
Ma late hours ndo kurudi kejani
Mmh
Aty bura alipotea, aty bura alienda wapi, aty bura ako mayolo
Aty bura unafanya nini, na pia unarudi lini, aty bado muna ningoja
Daily muna ni uliza maswali sijui rada yenyu joh ni gani
Struggle ni real mi nakushow, hio ni kitu nime experience
Sometimes nikikumbuka, machozi huanza kunitoka
Uchungu nilipitia, nikiwa joh na familia yangu
Maswali tu mingi, nilikuwa na ulizanga tu mungu
Anionyeshe tu rada, nipate vile nitapenya
Sitakuficha morio ngori, life ilikuwa ime nipiga kitu
Kila kitu najaribu, mboka zote zilikuwa zinaruka
But najituma, morio uskii sikuwangi nime lalisha
Works yeyote inakam through, teke teke cheki naidunga
Whether joh nikushikilia rungu, ama ikuwe works ya cleaning
Ata care na support si mind, as long as ina ingiza maganji
Mi sijali vile mutabonga, niko ithaa ya progress kujijenga
Kuwa maskini joh haiwezi, kuwa tajiri lazima ujitume
Sa we ndo kuamua ni side gani morio joh unataka
Alafu bidii yako itasema ni side gani tutakuweka
Mi sidai maisha ya shida, bana nimechoka kuteseka
Nisha funguwa biz yangu ya kwanza ya kibanda nauza mboga
Hapo si ndo mi na anzia, ladder mdogo najuwa napanda
Issa better way me look
Issa better way me want
Issa better house me need
Issa better car me want
Issa better life, better life, better life
Issa better life, better life, better life
Schedule yangu ni tight sana, uku manze time is money
Sijawai imagine hii time itafika, Aty nita ogelea kwa asali
Kumbe kuteseka ni kwa muda, Alafu bidii joh ndo siri
No pain no gain, martha alikuwa asha nipeleka na rada
Nilikam nikiwa prepared, either waniskume jela ama mtaani
Which ever outcome itakam, nilizaliwa nikiwa ready
It's either ni dedi nikitafuta, atleast musemange nilijaribu
Ganji daily kwa akili sina time ku mingle na mafala
Better life ndo me nataka so lazima ni maintain focus
Straa yangu si ya watu wengi, kabaridii lazima nikuwe rada
Cheki insta nawatesa daily picha ni za wasafi
Kwa bank jina ni kubwa vile mabramba nazichekesha
Nimechoka kutembea, bimma sai ndo naendea
Focus pia joh ni moja, bill gates lazima akuwe neighbour wangu
Nadai nikuwe tajiri, niskie pia vile hao huskia
Morio ka uko na idea ya biz, cheki kam karibu kando yangu
Same time nadai ku enjoy life mi ni myoung siwezi jifunga
Unadai nishinde nimekutolea form, iza joh hio time sina
Niko ithaa ya better life, better life, better life
Yo
Ni Bura