Umeniweka Huru (Live) ft. Pendo Chavala Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Kamba za mauti zilinizunguka
Shida za kuzimu zilinipata
Ukaja Yesu ukanipa ushindi
Ukanipa tumaini Bwana
Umenizunguka
Kamba za mauti zilinizunguka
Shida za kuzimu zilinipata
Ukaja Yesu ukanipa ushindi
Ukanipa tumaini Bwana
Umenizunguka
Chini ya bonde la uvuli wa mauti
Gongo lako na fimbo yako Bwana vyanifariji
Mwamba wa Wokovu wangu
Yesu Umeniweka huru
Chini ya bonde la uvuli wa mauti
Gongo lako na fimbo yako Bwana vyanifariji
Mwamba wa Wokovu wangu
Yesu Umeniweka huru
Umeniweka huru
Umeniweka huru
Umeniweka huru
Yesu umeniweka huru
Umeniweka huru
Umeniweka huru
Umeniweka huru
Yesu umeniweka huru
Umeniweka huru
Umeniweka huru
Umeniweka huru
Yesu umeniweka huru
Nimefanywa mwana, uzao mteule
Taifa takatifu, mtu wa milki ya Mungu
Nimeijua kweli, imeniweka huru
Huru kweli kweli
Nimefanywa mwana, uzao mteule
Taifa takatifu, mtu wa milki ya Mungu
Nimeijua kweli, imeniweka huru
Huru kweli kweli
Nimefanywa mwana, uzao mteule
Taifa takatifu, mtu wa milki ya Mungu
Nimeijua kweli, imeniweka huru
Huru kweli kweli
Umeniweka huru
Umeniweka huru
Umeniweka huru
Yesu umeniweka huru
Umeniweka huru
Umeniweka huru
Umeniweka huru
Yesu umeniweka huru
Umeniweka huru
Umeniweka huru
Umeniweka huru
Yesu umeniweka huru
Umeniweka huru
Umeniweka huru
Umeniweka huru
Yesu umeniweka huru
Umeniweka huru
Umeniweka huru
Umeniweka huru
Yesu umeniweka huru
Nimefanywa mwana, uzao mteule
Taifa takatifu, mtu wa milki ya Mungu
Nimeijua kweli, imeniweka huru
Huru kweli kweli
Nimefanywa mwana, uzao mteule
Taifa takatifu, mtu wa milki ya Mungu
Nimeijua kweli, imeniweka huru
Huru kweli kweli
Umeniweka huru
Umeniweka huru
Umeniweka huru
Yesu umeniweka huru
Umeniweka huru
Umeniweka huru
Umeniweka huru
Yesu umeniweka huru
Umeniweka huru
Umeniweka huru
Umeniweka huru
Yesu umeniweka huru