Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2021

Lyrics

Nakumbuka nikisimama mbele ya kanisa

Nikiungama dhambi maarufu

Nilihisi nimewashtua watu

Wengine naamini niliwakwaza

Moyoni nataabika kunyamaza

Sauti za hukumu na shutumu kutonyamaza

Naanzaje kutangaza tena Ufalme wa Mungu?

Je, mimi ni mwana wa Mungu?

Nilikosa majibu

Moyo wangu ulizama kwenye giza

Uchungu ulopitiliza

Miguu yangu haina nguvu

Sina hamu wala hamasa na kitu

Nikaendelea na siku

Ni nani awezaye kukomboa nafsi ilohukumiwa?

Maana ni kama mtu aliye mfu

Mshahara wa dhambi ni mauti

Je, dhambi ni nini hata ujitwike kwa ajili yangu?

Umejitwika dhambi mwilini mwako, ukaaibishwa

Ukapigwa hatimaye kifo

Hii ndio namna dhambi inatesa

Lakini ukaishinda, na kifo ukakishinda

Ukashuka chini hata kwa waliokufa

Wewe mwenye ujuzi wa miisho ya dunia, ukajitwika hata dhambi za wasio hai

Uliye na uwezo wa kusamehe dhambi

Ulimwambia yule mwanamke aende zake, wakati wa aibu, na kupigwa mawe

Kweli umekuja kuiondoa dhambi, na upendo wako ni ufunguo

Nikawa mbali na watu, mbali na urafiki

Nilijiona mpweke hata wakiwa karibu

Niliuchukia usiku

Nilipoteza thamani ya siku

Naamka asubuhi lakini bado ni usiku

Ndani yangu hakuna nguvu

Akili imechoshwa na sauti za kujihukumu

Lakini hukuniacha

Ulisema nami kama upepo, ukanikumbusha bado upo

Hata nilipodhani nimekosea mpaka mwisho

Kama mwana mpotevu hujaacha kunionesha fadhili zako

Kwa miali ya jua dirishani mwangu ulisema nami

Ukanikumbusha rehema zako ni mpya kila asubuhi

Mpaka nivyopojua ulikuja kwa sababu hii

Kuniondolea hukumu, kunipa uhuru

Sikuona wala sikutambua mpaka nilivyoonja pendo lako

Hukumu hutuweka mbali na Mungu, roho wa uzima hutupa uzima

Na wala kwake hakuna hukumu

Kama hii stori ni yako, unadhani umekosea mpaka mwisho

Umekosa matumaini, umejihukumu na kujiadhibu

Unajiuliza kama watakuelewa

Unahisi watu watakutenga

Unawaza itakuwaje kama wakigundua

Ujue ukweli huu na uwe huru

Roho wa uzima ametuweka huru juu ya utumwa wa dhambi

Mimi na wewe tumeondolewa dhambi

Hatuna sababu ya kujihukumu, kwa maana Mungu hatuhukumu

Tazama upendo huu na ukajipende namna hii

Ni yeye alikupenda hata kabla hujasema ndio

Anayekujua kabla ya misingi ya ulimwengu kuwekwa

Anayekuombea usiku na mchana

Ni yeye anajua nia ya moyo wako

Ni yeye anayekuita mwana

Simama na uangaze shujaa

Simama na utangaze zake rehema

Kwa maana umesamehewa

Wewe ni shahidi wa mataifa

Kwa ushuhuda wako unaangusha ufalme wa giza

Tazama siku za utukufu zi hapa


I am free

So free

Am free

I am free

So free

Am free

I am free

So free

Am free

I am free

So free

Am free

I am free

So free

Am free

I am free

So free

Am free

I am free

So free

Am free

I am free

So free

Am free

I am free

So free

Am free

I am free

So free

Am free

I am free

So free

Am free

I am free

So free

Am free


I am free

So free

Am free

I am free

So free

Am free

I am free

So free

Am free

I am free

So free

Am free

I am free

So free

Am free

I am free

So free

Am free

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status