Loading...

Download
  • Genre:Alternative
  • Year of Release:2016

Lyrics

Imbaaaa

Do re mi fa so la ti do

Wewe uliye tasa

Wewe usiyezaa

Paza sauti yako kwa kuimba piga kelele

Wewe usiyekuwa na utungu

Panua mahali pa hema yako Paza sauti yako kwa kuimba piga kelele


Usiogope

Maana hautatahayarika

Wala usifadhaike

Maana hutaaibika

Kwakuwa utaisahau aibu ya ujana wako

Pia mashutumu ya ujane wako

Hautayakumbuka tena


Usiogope

Maana hautatahayarika

Wala usifadhaike

Maana hutaaibika

Kwakuwa utaisahau aibu ya ujana wako

Pia mashutumu ya ujane wako Hautayakumbuka tena


Bwana wa majeshi ndilo Jina lake

Na Mtakatifu wa Israel

Ndiyo Mkombozi wako

Bwana wa majeshi ndilo Jina lake

Na Mtakatifu wa Israel

Ndiyo Mkombozi wako


Utathibitika katika haki

Utakuwa mbali na kuonewa

Kwamaana hutaogopa na mbali na hofu

Kwamaana haitakukaribia


Usiogope kwa maana Mimi ni pamoja nawe usifadhaike

Kwamaana Mimi ni Mungu wako

Nitakutua nguvu naam nitakusaidia naam nitakushika kwa

Mkono wa kuume wa haki yangu


Usiogope

Maana hautatahayarika

Wala usifadhaike

Maana hutaaibika

Kwakuwa utaisahau aibu ya ujana wako

Pia mashutumu ya ujane wako

Hautayakumbuka tena


Kila silaha itakayofanyika juu yako haitafanikiwa

Maana milima itaondoka, na vilima vitaondolewa

Bali wema wangu hautaondoka kwako

Utathibitika katika haki; utakuwa mbali na kuonewa

Kwa maana hutaogopa; na mbali na hofu, kwa maana haitakukaribia.

Usiogope

Maana hautatahayarika

Wala usifadhaike

Maana hutaaibika

Kwakuwa utaisahau aibu ya ujana wako

Pia mashutumu ya ujane wako

Hautayakumbuka tena

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status