Hujawahi Nisahau Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Umefanya mengi
Kuna wakati ninasahau kuja kukushukuru na kusema
Wewe ni KilaKitu kwangu

Uliyotenda jana narudi kukupa Sifa
Unayotenda leo narudi kukupa Sifa na kesho yangu najua nitashida tu na kesho yangu najua nitashinda tu

Wewe ni KilaKitu Kwangu
Wewe ni KilaKitu kwangu