One World Lyrics
- Genre:Alternative
- Year of Release:2016
Lyrics
Mawazo yake yalirudi kumshangaza mama yule
Alijiuliza dunia tunayoishi ni moja
Bali maisha nayoishi tofauti na yule
Yeye anakula mimi ninalala na njaa
Yeye anacheka bali mimi niko nalia
Mapenzi ya Mungu
Kwangu ni maeazo mema
Nitampenda na kumtii
Naishi kuimba sifa zake
Mapenzi ya Mungu
Kwangu ni maeazo mema
Nitampenda na kumtii
Naishi kuimba sifa zake
Akagundua Mungu wa kweli
Ni furaha yake
Akagundua Mungu wa kweli
Ni faraja yake
Akisema ndiyo hakuna
Takayesema hapana
Akaamua kumfuata Mungu wa kweli Zaburi 23 ni ahadi yangu akasema