Hujambo Mwanangu ft. Ferooz Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Hujambo Mwanangu ft. Ferooz - Rostam (TZ)
...
is rostam baby
tongwe record bin laden
nakusalimia
kwa jina la jamuhuri
wa tanzania
siku nyingi hatujaongea
na sisi ni familia
na mbona hukuja
kumzika baba kwanini
ukipata muda kasome
luka tisa mstari wa sitini
nawe umezidi utukutu
ndio mana baba
alikuchukia
wengi tuliopo huku
mionyo yetu iliumia
kuona baba kuakemea
waliotuonea aliwasifia
mwezangu ulipendwa sana
nyimbo zako alifurahia
ulideka
ulipewa zawadi
ya tshart na kofia
kaka marehemu hasemwi
njoo tujenge familia
achaniondoke
nina damu ya kunguni
nisije jifia
tunaimba wote
nafungiwa mie
umesahau
ya kibamia
ila sasa unaweza kurudi
mbona mambo yapo shwari
hata makonda aliekua
hakupendi
mambo yake yapo mshazari
aliuza nyumba ya kino
bila hela ya udalali
akapata ya kigamboni
ikasongwa na upepo wa bahari
hio ni hatari