Watani Wa Jadi ft. Mr Blue Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Watani Wa Jadi ft. Mr Blue - Rostam (TZ)
...
we ni simbaa..we ni yangaa...
Mtakesha mkichoma ubani pandishe mashetani mkija kanzu tobo mpira kwapani
Sisi mabingwa wa nyikani watoto wa jangwani labda aje simba yuda sio wa mbugani
Ahh...yanga acheni usela usela mavi vueni jezi mvae dela litapendeza hilo vazi
So ka hamwezi tuwape kibao cha mbuzi mkune nazi iko wazi hamna hadhi mbele ya wekundu wa msimbazi
Hadhi gani..(enhe..) wekundu gani huku vikombe vya ligi sina mpinzani
Ahh wapi! hyo ligi kuu usile kodi yetu hajumu muungano mtaani jembe ka fifty two
Simba ya mafundi ni ile ya Sunderland sio simba ya leo inayofungwa mpaka na stendi
Nyinyi mlifungwa na mbao fair wachezaji mliokosa fikra mkatoka mnachechemea ka dem alievunjwa bikra
Leo nmepita kariakoo kuna stori imenikatastimu haji manara ndo mshika irizi wa timu
Mbn nyie mechi na ruvu mlifukia mbuzi golini kaka usunitoe udhu niache niende mskitini
2× SIMBA EHEE.....YANGA EHEE...WOTE WATANI WA JADI (watani wa jadi)
2× MI NI SIMBAA KAMA KWELI SIMBA MKONO JUU....MI NI YANGA KAMA KWELI YANGA MKONO JUU.....................
ila mpira ulika zamani kipindi cha lunyamila seki rojo cha mbua kila jaro tatu bila ss unalitaje mwmba mbele ya saidi kizota sande manala kompyuta dimbani anau