Loading...

Download
  • Genre:Afrobeats
  • Year of Release:2021

Lyrics

Intro - Dogo Janja

...

kwa jina naitwa ZAITUN OMAR SALIM mama ake mzazi na Abdul abubakary Tende Al maarufu Kama dogo janja MWANANGU alianza kuimba akiwa na umri mdogo Sana ila sikuzani Kama angefika apo alipo alipokua anaimba kidogo kidogo anachukua madaftar anaandika Me najua NI Mambo ya shuleni nikimuuliza NI Nini anasema NI mistari kwahiyo Nikawa namgombeza kazana kwanza na elimu achana na Mambo ya mistari ikifikia umri utananiii tu Utafanya iyo KAZI ako badae kweli mi nikawa nachukulia mzaa hvhvy anaendelea kuimba kwaiyo Kuna mashindano name nane yakatokA alivyoenda kuimba kwenye nane nane mi Sina taarifa majirani wakaniambia fungulia redio msikilize mwanao anaimba nilivyofungulia redio kweri nikakuta NI yeye anaimba bhasi nikawa nasubiria tuu Aje Alipokuja akaniambia mama nimeimba kwenye nane nane nimeshiriki mashindano kwahiyo nimepata ushindi nimepewa Ofa ya kwenda kurecord bhasi watu wakanishauri Kwamba we usimkataze umuache aendeleze kipaji chake Apo atakapomaliza elimu ataenderea kwahiyo alikuwa anapnda Sana mziki yani kuanzia udogo bhasi alivyokuwa shuleni akaenda alivyopata iyo Ofa akarecord akafanikiwa kweri akawa anawafuata wasanii wakubwa Kama akina madee na madee kweliiiii alimsaidia namshukru Sana madee kwasababu amemsaidia biLa hivyo sababu hapa Arusha watoto wanaharibika Sana lakin madee aliona kipaji chake aLikigundua akamchukua akamsaidia kwahiyo naushukuru Sana uongozi wake nasema asnte mungu kwa hapo SAHIVI alipo NAMSHUKRU M/MUNGU KWA KUMPA MWANANGU KIPAJI NA KUWA YEYE TEGEMEO KATIKA FAMILIA NAMUOMBEA MUNGU SANA AMLINDE NA AMBARIKI NASEMA ASANYE MUNGU ASANTEee.....,

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status