Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2021

This song is not currently available in your region.

Try the alternative versions below.

Lyrics

Nimependa - Guardian Angel

...

*****..........................****mi sijuti mi sijuti kupata wokovu ni ngali kijana aah eee.... nimepata Amani iliyo ya kweli Amani ambayo sikupata kwingine mungu ninaye juvunia si mungu niliesikia ni mungu ambaye nimeona akitenda (kwake napata Raha kila kitu nafanyiwa sioni hasara mungu ananipenda.......)


nimependa penda...nimependa.... (nimependa) nimependa unavyonipendeza


kuna changamoto hutokea katika safari ya wokovu kila Mapito yako yanatendeka Kwa wema piga simu pigia rafiki zako simu wote leo uwaambie unashida Sana unhitaji sapoti... ukimaliza pigia na mungu wako goti kisha naye umwambie unashida Sana unhitaji sapoti.... hapo ndipo utaona Nani anakujalia atakaye kusaidia aah eeh.....


(Kwa mungu wangu napata raha kila kitu nafanyiwa ni na Imani kwamba mungu ananipendaaaa.....)


nimependa penda nimependa.... nimependa (nimependa) unavyonipendeza......


(maandiko yanasema mukumbuke mungu muumba wako ungali kijana bado unanguvu.)........ usijidanganye eti bado ungali kijana unavunja mifupa mifupa kuokoka ni uzeeni (Kwanza kufika uzeeni siku hizi ni majaliwa....aaahh eeeh maisha ni mafupi Sana muishie mungu.....)


(nimependa penda (nimependa)..... nimependa unavyonipendeza)....... nimependaaa.......****estheriz***

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status