Rudisha Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Rudisha - Guardian Angel
...
Mungu anashangaaa kuna nini kwa wanadamu, mbona tunatumia atupavyo tofauti naye,
Mungu anashangaaa kuna nini kwa wanadamu.mbona tunatumia atupavyo tofauti naye....
Tunatumia machozi kwa ajili ya uchungu,badala ya kutumia kwa ajili ya ibada.
tunatumia huzuni kwa ajili ya changamoto zetu badali ya kutumia tunapoona Dhabi duniani.
Haja gani we kuhuzunika kwa ajili ya ahadi zake kwamba umegonja sana, haja gani we kuhuzunika kwa ajili ya ahadi zake kwamba umegonja sana.heei
Machozi ni ya ibada huzunika unapoona Dhabi yupo atimize ahadi zake
machozi ni ya ibada (machozi ni ibada) huzunika unapoona Dhabi yupo akutendee kwa wakati wakeei
Rudisha machozi yako, Mahali pake maana yeye yupo azitimize ahadi zake rudisha huzuni yako pahali pake maana yeye yupo akutendee kwa wakati wake.
Yupo Mungu yupo na anatimiza ahadi zake mi nakuhimiza kwa neno lake atakunyoshea mkono wake
ukufikie.eeeeii iii ooooooh ooh
machozi yako yawe ya ibada msifu kwa siku aliyoifanyaaa yeyei yeiii
Machozi ni ya ibada huzunika unapona dhambi yupo azimize ahadi zakeee.
Machozi ni ya ibada huzunika unapoona dhabi iko (yesu Yuko)akutendee kwa wakati wake(yesu yuko)
Rudisha machozi yako Mahali pakemaana yeye yupo azitimize ahadi zake.rudisha huzuni yako Mahali pake maana yeye yupo akutendeeee kwa wakati wakeei.
Just enter His gates with Thanksgiving in your heart, koz this is the day that the Lord has made it we will rejoice and be glad in it .*2
Rudisha machozi yako mahali pake maana yeye yupo azitimize ahadi zake
Rudisha huzuni yako Mahali pake maana yeye yupo akutendee kwa wakati wake
rudishaa, rudishaaa,rudishaaa
yesu yupooo, rudisha,maana yeye yupooo
Rudishaaaaaaaaaaaaaaaaa yeeeyyeyeyei