Moyo Mashine Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2016
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Moyo Mashine - Ben Pol
...
aaaaaaeeeeeeeee
aaaaaaeeeeeerrr
najua kukicha nitajuta
kama unanitania
maana moyo wangu
nimekupa ueke
mimi ni mfungwa
tena mjinga
nimejileta gerezani
tena sikuwaza nitakua matekaa
mmmmmmmmmhhhh
najua ulinizungusha sana
sijali huwa ni mambo ya ujana
kukupenda wewe
sijutiii
maneno yalisemwa
mengi sana
kuna wakati nilikata tamaa
kukupenda wewe
sichokiii
moyo mashine
ila majibu ya upendo ulishakosaaa
wacha wasemee
nimekupendea nini
aaaaaaahhh
moyo mashine
ila majibu ya upendo ulishakosagaaaaa
wacha wasemee
nimekupendea nini
aaaaaaahhh
nafsi inanituma
upendo upo nje ya maneno
ila vitendooo
kama bubuuu
akipenda atanena vipi kwa maneno
pasi na vitendoo
kiziwii hata ukimwambia nakupenda
wala hasikii
ila vitendo
wewe sijui sababu za kukupenda
siwezi sema
ila utaonaa
najua ulinizungusha sana
sijali huwa ni mambo ya ujana
kukupenda wewe
sijutiii
maneno yalisemwa
mengi sana
kuna wakati nilikata tamaa
kukupenda wewe
sichokiiiiiiii
moyo mashine
ila majibu ya upendo ulishakosaaa
wacha wasemee
nimekupendea nini
aaaaaaaaaaaeeeeeeee
moyo mashine
ila majibu ya upendo ulishakosagaaaaa
wacha wasemee
nimekupendea nini
aaaaaaaeeeeeeee
oooooooohhh
kama moyo
ulisimama nilipo kuona
hukuongea,hukucheka
nilikuona tuh
na tabia sikufaham
labda nature ya mwanadamu
kukupenda usishangae
ni upofu wa moyo
kumbe moyo ulinirubuni
hukusema umependa nini
aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah
moyo mashine
ila majibu ya upendo ulishakosaaa
wacha wasemee
nimekupendea nini
aaaaaaaahhh
moyo mashine
ila majibu ya upendo ulishakosagaaaa
wacha wasemee
nimekupendea nini
aaaaaaaahaaaaa
ooooooooo
eeeeeeeeeeeeeeeh
fahari kukupenda wewe
aaaaaaaheeeeeeeee
aaaaaaaaaaheeeeee
aaaaaaaheeeeeeeee
aaaaaaheeeeeee
aaaaaaheeeee
aaaaaaaheeeeeeeee
aaaaaaheeeeeeee
aaaaaaheeeee
....................