Nibariki Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Nibariki - Guardian Angel
...
Kuna wakati ambao nilijiona duni sana
Kuna wakati ambao nilijidharau sana
Kuna wakati ambao niliona Niko chini sana
kumbe machoni pa Mungu tofauti sana
kumbe machoni pa Mungu tofauti sana
Kuna wakati ambao walo na shida kama wewe watakucheka
Kuna wakati ambao uliodhani ni marafiki watakutoka
Kuna wakati ambao utadhani Mungu wako amekuacha
kumbe ya Mungu ni mengi
ni mengi sana
nipe kibali nibariki, nibariki niwashuhudie
nipe fedha ni miliki ni miliki nikutumikie
Mungu wangu nibariki, nibariki niwashuhudie
nipe fedha ni miliki ni miliki nikutumikie
wanao kudharau wakikucheki kibandani
nakumbe YeYe amekuchora kiganjani
kwani maisha Yako Yako duni namna Gani
na kumbe YeYe amekuseti mpangoni
minakuita kuja ,nenda nami mpaka mwisho kileleni nibless niweke kamili, maisha yangu family,
mentally financially, emotionally, physically, nibless niweke family maisha yangu, family mentally, financially, emotionally
nipe kibali nibariki, nibariki niwashuhudie
nipe fedha nimiliki nimiliki nikutumikie
Mungu wangu nibariki,nibariki niwashuhudie
nipe fedha nimiliki, nimiliki nikutumikie
nipe kibali, nibariki nibariki niwashuhudie
nipe fedha nimiliki nimiliki nikutumikie
Mungu wangu nibariki nibariki niwashuhudie
nipe fedha nimiliki nimiliki nikutumikie ×2