Loading...

Download
  • Genre:Pop
  • Year of Release:2021

Lyrics

Wosia wa Magufuli - Alikiba

...

Mi nataka niwaambie ndugu zangu

Ndugu zangu ipo siku moja

Mtanikumbuka mi najua nami najua

Mtanikumbuka kwa mazuri si mabaya(eeeeeh)

MI najua Mtanikumbuka kwa mazuri eeeeeh!

Kwa sababu Nime sacrifize maisha yangu

Nimejitoa sadaka aaaah!

Nime sacrifice maisha yangu nimejitoa

Nimejitoa kwa nchi yangu, watu wangu

Nchi yangu kwa maana hiyo tusimame

Kwa pamoja tusibaguane kwa vyama

Kwa maana hiyo tusimame tusibaguane

Kwa vyama tusibaguane kwa ajili ya dini zetu

Tusibaguane ata kwa makabila yetu

Tusibaguane kwa ajili ya dini zetu

Tusibaguane kwa ajili ya makabila yetu

Yetuuu tusibaguane

Aaahiyaiyaa! Aaahiyaiyaa! Aaahiyaiyaa

Nime sacrifice maisha yangu eiyeee!

Nime sacrifice maisha yangu

Kwa ajili ya watanzania masikinieeeh ooooh

Ndugu zangu tusibaguane ndugu zangu

Tusibaguane kwa makabila

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status