Mashallah Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Mashallah - Benson (Tz)
...
oooh mashallah
zawadi gan ya penzi
nilo kupaaaa, kwang we tibaa
hauchukii ata kama nikitelezaaa,
haushangai hali yang ya kipato ooo
napata uwoga moyo wang waenda
mbioo hivi ni nini inafanya unipendee? unazidi kunipa mawengee hiv ni nin inafany
unipeeend unazidi kunipa mawenge e eee
maashallahh(mashallah)
oh my love