Totoo Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Totoo - Benson (Tz)
...
zengwe zengwe fulani
usilenge
watakuupa maneno watu
uniache mie
ukweli natamani
si tubaki sie sie
kuna watu na viatu
usiponambia eeh
we binadam wabaya usiwape ramani
watakuja kuchomesha uniache jamani
na ndoton twende ulaya tukale honeymoon
usipagawe na mapesa tujikaze kisabuni mamaaaah
......
Totoo
langu mimi
Totoo
toto jicho
Totoo
atulia
Totoo
usipagawe
Totoo
langu mimi
Totoo
toto tundu
Totoo
atilia
aiyaaa aaah haah
.........###.....
ooooh taratibu
usijeshika kusikiahikika
mapenzi yangu
nilikupa kiuhakika
wangu tahabibu
we nitibu na kadharika
maana walimwengu
wanapenda misifa
we binadam wabaya usiwape ramani
watakuja kuchomesha uniache jamani
na ndoton twende ulaya tukale honeymoon
usipagawe na mapesa tujikaze kisabuni mamaaaah
............
CHORUS
........
acha utundu
mama
bby mama
mama
usisikie ya watu
mama
bby mama