Hauzimi Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Hauzimi - Benson (Tz)
...
mhmmm mh mhmmm
nivipi naweza kunogesha furahisha na pendo likole nieleze kitu gani sijafanya au nafanya unahisi nakosea niwapi nitashika ukaridhika burudika na pendo liendele mana imekuwa nongwa kisa rika unaniambia siwezi mengine
#chorus
mapenzi ya upepo kama bendera mamawe mwenzako moto hauzimi hauzimi mwenzako moto hauzimi basi slow tempo namaliza sabuni mwenzako moto hauzimi hauzimi mwenzako moto hauzimi
#verse
mwanzo ulisema nakuchengua unanimiss Hata kidogo hupotezi dakika wala masaa na ukasema mintafte unga natena kwenye mechi nazikata mi Samata nashanga nazikata
#chorus
mapenzi ya upepo kama bendera mamawe mwenzako moto hauzimi hauzimi mwenzako moto hauzimi basi slow tempo namaliza Sabuni mwenzako moto hauzimi hauzimi mwenzako moto hauzimi
#instrumental... beats
#verse
honey unazima data mwenzako mtandao usije ukakata bila wewe siwezi mapenzi naukija kuniacha utaniachia utata lirudi kama zamanii penzi Liwe shata Shata kuliko kunifanya Ka mbumbumbu mwenyewe wengine ukafata ooh baby why ayaya yaya ayaya aya
ooh baby why ayaya yaya ayaya ayaya ayaya
#chorus
mapenzi ya upepo kama bendera mamawe mwenzako moto hauzimi hauzimi mwenzako moto hauzimi basis slow tempo namaliza sabuni mwenzako moto hauzimi hauzimi mwenzako moto hauzimi...
"instrumental music""