Deep Down Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Deep Down - Rekles
...
....
???
yeah,Chee
aty deep down kuna ngori tuna beef nao
wanayap niwasoft wamezoea kula pilau
si niketepa tu na kibao pills na gwel na ma tap tap tap hadi deep down kuna ngori tuna beef nao wamezeoa kula pilau
si niketepa tu na kibao pills na gwel na ma tap tap tal
wakidab me naingianga tu ki dawn (dawn,dawn) bomboclat whatagwan usicall bila fom (fom fom fom)
oya wanabajo bila ata rende niko front wako back joh kisenge ni iki kicock wanatemanga veve na ukiniboh unakanyagwa kama mende
teke bro Niko umo si Jamaica hii ni baraka jamaa si kawaida hii ni data inawakimbiza ki fiber me ni fighter daddy me survivor
yeah,aty deep down kuna ngori tuna beef nao
wanayap niwasoft wamezoea kula pilau
si niketepa tu na kibao pills na gwel na ma tap tap tap hadi deep down kuna ngori tuna beef nao wamezeoa kula pilau
si niketepa tu na kibao pills na gwel na ma tap tap tap tap
wakidab me naingianga tu ki dawn (dawn,dawn) bomboclat whatagwan usicall bila fom (fom fom fom)
Yeah,agh
aty mbona joh unabuy tu ?
mbona una ma rhymes stupid
oya oya ukini dai kama huna dooh sikuji
ona ona ukiniwai na magwai si?
eh,me upe??? mabully
me uchekingi ma horror nikidai movie
ngoja mbona we ni G na unabuy chupi
kani chura vuta zip na usiwai rudi
aty oya mr na ego wanadai nimaringo
niite Caliptho nikona ma illegal
skia mali ikona nikona tu ma kilo
pia kaa ni pice tu shikanisha na pilo
after Position nakuja na Tarimbo
me ufinya ? juu nafinya nafinyo
ata ma single hu mingle na dildo
ata ma dingo wali? na fimbo
aty deep down kuna ngori tuna beef nao
wanayap niwasoft wamezoea kula pilau
si niketepa tu na kibao pills na gwel na ma tap tap tap hadi deep down kuna ngori tuna beef nao wamezeoa kula pilau
si niketepa tu na kibao pills na gwel na ma tap tap tap
wakidab me naingianga tu ki dawn (dawn,dawn) bomboclat whatagwan usicall bila fom (fom fom fom)
.... ????