So Fine Lyrics
- Genre:Genge
- Year of Release:2022
Lyrics
So Fine - Rekles
...
house of badass
(motif di don) ah
niaje baby cheki unanimaliza
naju nimekucheki nauliza jina
aki ya nani una mwili amazing
niko na time plenty
si juu we ni peng ting tuendee pizza
nadai nikuite keki ama malkia
nipe basi namba nistoke bila
hadi nimecheki mabuda wakikucheki
ndo maana lazma niulize
mbona unakaa so fine? (so fine)
mbona hukaa so fine? (so fine)
mbona unakaa so fine? (so fine)
mbona hukaa so fine? ( so fine)
veny venye uko fabulous
una ni kill nakimbizwa kwa ambulance
lazma nijichoche hata ka siezi fika kaliba
kaa uko money minded na unadai mabudaa pia ni sawa
aki punguza bill mi nakupunguza taki but
kaa unitaki taki nameesha kitambi bass
ningekua na ganji saai tungekua Abu Dhabi
pakua paka unafanya joh napagawa
tajua najua tutafika bila mabawa
niaje baby cheki unanimaliza
naju nimekucheki nauliza jina
aki ya nani una mwili amazing
niko na time plenty
si juu we ni peng ting
tuendee pizza
nadai nikuite keki ama malkia
nipe basi namba nistoke bila
hadi nimecheki mabuda wakikucheki
ndo maana lazma niulize
mbona unakaa so fine? (so fine)
mbona hukaa so fine? (so fine)
mbona unakaa so fine? (so fine)
mbona hukaa so fine? (so fine)
ah yeah nasi nasi unajua venye we unimaliza ukichoresha saba (saba)
na nashuku umenisetia madawa
juu si kawaida kwangu kupenda sana (si kawaida kwangu kupenda sana)
hakuna pressure bae ka uko na mimi usi tense relax
cheki bae usiogope relax
nakumbuka jana nili call juu nime kumiss nika jifanya ati ni baati mbaya
nasi unapenda madoba ukidai niku imbie nakuja naa guitar (sai sai)
naju Nairobi kuna hutiaji harusi mbaka Zanzibar
harusi wapi Zanzibar
niaje baby cheki unanimaliza
naju nimekucheki nauliza jina
haki ya nani una mwili amazing
niko na time plenty
si juu we ni peng ting
tuendee pizza
nadai nikuite keki ama malkia
nipe basi namba nistoke bila
hadi nimecheki mabuda wakikucheki
ndo maana lazma niulize
niaje baby cheki unanimaliza
naju nimekucheki nauliza jina
haki ya nani una mwili amazing
niko na time plenty
si juu we ni peng ting
tuendee pizza
nadai nikuite keki ama malkia
nipe basi namba nistoke bila
hadi nimecheki mabuda wakikucheki
ndo maana lazma niulize
mbona unakaa so fine? (so fine)
mbona hukaa so fine? (so fine)
mbona unakaa so fine? (so fine)
mbona hukaa so fine? (so fine)