Pita Nawe (Remix) ft. Ssaru Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2020
Lyrics
Pita Nawe (Remix) ft. Ssaru - JOVIAL
...
Aaah the badesst the Sasuru
(you are now n the sound)
wananita komesha wa roho napita kichokozi wanabisha wanapozi
wanakata sana pakeei wamedata aah
mm ndio fundi wa hizi kucostii
ukiseleki napita naye
tena kimbogi mbogi
ukiseleki napita naye
mm napiga show ndani ya moti (aah) eeh
domobolo bila toti (aah)
kwenye sherehe unikosi (aah) eeh
tushalewa vikomboti aah eeh*2
Akiseleki mm napita naye * 3
pita pita pita
Akiseleki mm napita naye
pita pita pita
(vicky pon dos)
(Alexis on the beat)
Aah ninacome na hii naye
nakuja mpaka na beer (mm napita naye)
na ukiniringia chali yako mm nakuibia
kwake mm ntaingia
juu nmekufikia
vako za road trip babe kanyanga gia
mm nko shy leo kwako ntapiga show
kama unapenda mchezo mm napenda za brikisho
kaa stingo za ukutani ntakupea hadi kwa shorom ntakupea hadi kwa choo
ukinyonga hapa kwa koo
(eeei)
mm ntakutisi ntakuwagia makiss
come n mangori tutazifix
juu napenda ukiwa na beef (eeeh)
nataka hunhiss ukiwa na mm uko na keys
ww unanona uko na cheezzz
wakingora ntawadisi (eeei)
hapa unakwama kwanza ntashika kadumba (dumba)
hapa polepole ndivyo tunajenga nyumba (nyumba)
nkugangana tu kiamuri na kuvumba
wengine wakichezana sisi tunacheza rumba
mm napiga show ndani ya moti (aah) eeh
dombolo bila toti (aah) eeh
kwenye sherehe ukinkosi (aah) eeh
tushalewa mkoboti (aah) eeh *2
................
akiseleki napita naye
...............
akiseleki napita naye
pita pita pita pita
akiseleki napita naye
pita pita pita pita
ntakupea dish tofauti
utaipenda ladha
ntakucheza bila booty
zinakunaga kamwada *2
by Ivanovic empire 254