Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2020

Lyrics

Mungu Amenihurumia - Godwin Ombeni

...

Mungu amenihurumia

Tendo hili kubwa sana

Siku stahili jambo hili

Nimelipata bure tu

/:Sasa najua haya yote,

:/Sasa najua haya yote

Nasifu huruma yake,

nasifu huruma yake

Nalistahiri kupotea,

Lakini nahurumiwa.

Mungu amenipatanisha

na yeye Kwa Yesu Kristo.

/:Hivi vyote vyatoka wapi?:/

/:Nasema ni huruma tu:/

Jambo hili lenye huruma

nitalisifu Daima.

Nalihubiri siku zote,

nikiulizwa na watu.

/:Ndilo furaha yangu

Kubwa,:/

/:nalingojea,nikiwa.:/

Huruma hii ni kubwa sana,

nitaisifu daima.

Naitafuta nikiomba

nategemea hiyo tu.

/:Sababu hii navumilia,:/

/:naingojea,nikifa.:/

Mungu mwenye huruma nyingi

usininyime huruma.

Mimi ni mkiwa,nipeleke

Kwako Kwa kufa Kwa Yesu.

/:kule mbinguni nitakutumia,:/

/:huruma yako milele.:/

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status