Mji wa Mwangaza Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2013
Lyrics
Mji wa Mwangaza - Godwin Ombeni
...
Kwa mji wa mwangaza hapana usiku
Hautapita tena hapana usiku
Mungu atayafuta machozi na hasara
hapo miaka itakoma hapana usiku x2
(Na mji ule hauhitaji jua wala mwezi kuangaza kwa maana utukufu wa Mungu huutia nuru na taa yake ni mwanakondoo)
Jua halitakiwi,
Hapana usiku.
Yesu ni nuru kweli,
Hapana usiku.
Mungu atayafuta machozi na hasara
hapo miaka itakoma hapana usiku x2
Kwa mji wa Mbinguni
Hapana usiku
Milele furahini
Hapana usiku
Mungu atayafuta machozi na hasara
hapo miaka itakoma hapana usiku x2
Kwa mji wa mwangaza,
Hapana usiku
Hautapita tena
Hapana usiku