Bwana Umeinuliwa Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2013
Lyrics
Bwana Umeinuliwa - Godwin Ombeni
...
Bwana umwinuliwa katika kiti chako cha ezi. ×2
Mungu wetu umeinuliwa wew peke take katika kiti chako cha ezi
Mtakatifu ni wewe
Mungu wetu umeinuliwa
umeinuliwa sana wewe
Utukufu heshima zina wewe