Ntala Nawe Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2020
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Ntala Nawe - Ben Pol
...
mpenzi wewe usiwe na mashaka
ingawa mashida kesho tujaliwa
ikiwa kwa raha tufurahi pamoja
na ninapolia we wanipa faraja aaah
ntala nawe ntala nawe
kwenye shida ama kwenye furaha dadaa
ntala nawe ntala nawe
kwenye jua ama kwenye mvua
ona nyota zetu zinavyo metameta
na ukitabasamu unapendeza sana
nikiwa kwa giza umekuwa mwangaza tuliyopitia umenvumilia aaah
ntala nawe ntala nawe
kwenye shida ama kwenye furaha dada
ntala nawe ntala nawe
kwenye jua ama kwenye mvua