Sophia Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2020
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Sophia - Ben Pol
...
Mswaki
Nakuzimia vibaya vibaya, vibaya vibaya mi
Nakuzimia vibaya vibaya, vibaya vibaya mi
Nakuzimia vibaya vibaya, vibaya vibaya mi
Sophia Sophia nikupeleke Mpunguzi, ah
Sophia Sophia nikupeleke na Mvumi, ah
Sophia Sophia nikupeleke na Mazengo, ah
Sophia Sophia nikupeleke Mkuhungu
Nakuzimia vibaya vibaya, vibaya vibaya mi
Nakuzimia vibaya vibaya, vibaya vibaya mi
Nakuzimia vibaya vibaya, vibaya vibaya mi
Sophi wangu mi nilizaliwa Tanzania kanda yakati, ah
Makao makuu twende pamoja tukauone uzuri wa nchi
Ndugu zangu wa Makole wakarimu wapole
Wanataka wakuone kabla kurudi Dar
Wakupatie karanga zabibu na uhemba
Lazima uwakumbuke ukifika Dar
Nakuzimia vibaya vibaya, vibaya vibaya mi
Nakuzimia vibaya vibaya, vibaya vibaya mi
Nakuzimia vibaya vibaya, vibaya vibaya mi
Sophia Sophia ah a a a ai
Sophia Sophia ah a a a ai
Sophia Sophia ah a a a ai
Sophia Sophia ah a a a ai
Sophia Sophia ah a a a ai
Sophia Sophia ah a a a ai
Sophia Sophia ah a a a ai
Sophia Sophia ah a a a ai
Sophia Sophia ah a a a ai
Sophia Sophia ah a a a ai