Maumivu (Remix) Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2020
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Maumivu (Remix) - Ben Pol
...
Ben Pol - Maumivu Ft. One The Incredible
.............
INTRO
Mmmh
Eeeh (eeeh)
Oooh
First time nilipenda nikajiona nimefika, nikajua sitotendwa machozi yasijengenitoka
Nikajihadaa, nikajawa na furaha mwishowe kushtuka nimezimia balaa
Kaniacha ingawa alijua kabisa, pasi na penzi lake mimi sina maisha
Akaniumiza, nikadhoofika nikajifariji na siku zikapita
Nikakumbuka nikasema sitokuja penda tena, baada ya miaka kupita nikajiona nishapona
Nikayasahau machungu ya nyuma, nanikajikuta nimependa tena
Sikuamini kabisa kilichotokea tena, machozi ya mapenzi kunibubujika tena
Yanifanya nasema sitaki kuumizwa tena, tenaaa
CHORUS - BEN POL
Wengine mbona wanajali upendo, wengine mbona mwaumiza tu
Wengine huwapatia langu pendo, wakalivunja na kuacha vidonda
Wengine mbina wanajali upendo, wengine mbona mwaumiza tu
Wengine huwapatia langu pendo, wakalivunja na kuacha vidonda
VERSE 2 - BEN POL
Kila ajae hunitumia na kwenda zake, hathamini uhitaji wa moyo wangu kwake
Mi nimekuwa kulia na kupona, kila siku bora kutopenda tena
Najua ni vigumu kuishi bila penzi, lakini bora hivyo kuliko machozi
Sijui labda mi nna mkosi gani, mbona wengine wafurahi penzini (yeeah, aaah, yeeah)
VERSE 3 - ONE THE INCREDIBLE
We ni mrembo mwenye classic, nafsi ya upendo upo safi ila true una kasi ya malengo
Niliahidi kuwa muwazi ila kazi mwenendo, unaegeuka fundi ujenzi una kazi kila jengo
Kama kupendwa utapendwa na wangapi, salamu kwako mpendwa enenda kwa sala safi
Sina mengi ya kusema, kwako mpendwa wa haki kwangu upendo wa dhati unakwenda na wakati
Niliambiwa na machizi, nikawachukulia matozi
Kumbe we paka wa mpishi, unaejua kila msosi
Sikuwa na nia mbaya, but ofcourse every man in this world has desire for never for whats wrong
VERSE 4 - BEN POL
Tamu ya mapenzi siijui mimi, chungu na mimi maumivu moyoni
Tamu ya mapenzi siijui mimi (eee eeeeh!)
Tamu ya mapenzi siijui mimi, chungu na mimi maumivu moyoni (heeeee, ooooh)
CHORUS - BEN POL
CHORUS
Wengine mbona wanajali upendo, wengine mbona mvidondawaumiza tu
Wengine huwapatia langu pendo, wakalivunja na kuacha vidonda
Wengine mbina wanajali upendo, wengine mbona mwaumiza tu
Wengine huwapatia langu pendo, wakalivunja na kuacha vidonda