Yatakwisha Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2020
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Yatakwisha - Ben Pol
...
(Benpol)
Na Yatakwisha......
Mmmmmmh...... Eeeeeeh
Ala moja Haikai mpaka mbili nimeamini
nilidhani nitaweza kuwa mudu wote wawili
Ye awepo nawe niwe wakoo oooh
Kwake nipate,nawe nipate penzi lako ooh
Kweli sitoweza kuacha uende nibaki nilie
Bora kupoteza mali nipate moyo wako nitulie
Kweli sitoweza kuacha uende nibaki nilie
Bora kupoteza vyote nipate moyo wako nitulie
Ulisema umeamua kunisamehe... Na yatakwisha
Leo tena unataka kunitesa... Na kuniumiza
Jua kwamba leo mi mwenzio,kesho wewe
Haya mateso unayonipa mi mwenzio utapata kwa mwengine X2
(Linah
Ukweli wote ulijificha,huku uweka wazi
Fadhiri zote kumbe bure,nani atani enzi
Ningejua pendo lako wala nisingelipokea
Naumia penzi hili sitaweza ku share
(Benpol)
Nooooooooooooo!.....
We ndo wa moyoni,siwezi ntafanya nini mi!
Kuishi mbali nawe,kwangu nami ni kazi bure
labda uhai niutoe.... Niwe chizi nipagawe
Kama timamu nielewe... Naomba unisamehe
labda uhai niutoe.... Niwe chizi nipagawe
Kama timamu nielewe... Naomba unisamehe
Ulisema umeamua kunisamehe... Na yatakwisha
Leo tena unataka kunitesa... Na kuniumiza
Jua kwamba leo mi mwenzio,kesho wewe
Haya mateso unayonipa mi mwenzio utapata kwa mwengine X2
Ulisema umeamua kunisamehe... Na yatakwisha
Leo tena unataka kunitesa... Na kuniumiza
Jua kwamba leo mi mwenzio,kesho wewe
Haya mateso unayonipa mi mwenzio utapata kwa mwengine X2
Kwa mwingine (eeh) X2