Samboira Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2020
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Samboira - Ben Pol
...
Mmh mh
Iye iye iye iye
Mmh mh, mmh mh
Yey yey
Asubuhi tu kukicha, mi nazianza pilika
Mchana kutwa kutafuta, nikutunze langu ua
Na uzuri ulionao, nakuacha nyumbani peke yako
Roho inaniuma mwenzio, natamani nishinde kando yako
Na uzuri ulionao, nakuacha nyumbani peke yako
Roho inaniuma mwenzio
Natamani nishinde pembeni yako
Mi napata homa, njiani na watu ukisimama
Na roho inaniuma, sokoni kurudi umechelewa
Mi napata homa, njiani na watu ukisimama
Na roho inaniuma, sokoni kurudi umechelewa
Samboira kuruse sumuka nevyeu ye kutaali (kutaali)
Jichunge mama
Katu sitopenda nikukose mpenzi wee
Samboira kuruse sumuka nevyeu ye kutaali (kutaali)
Jichunge mama katu sitopenda nikukose mpenzi wee
Ulishajua mi nakujali sana
Ndo maana moyo wangu unaniuma
Nakuomba kipenzi chunga sana
Maana wapo wasiopenda kutuona
Ulishajua mi nakujali sana
Ndo maana moyo wangu unaniuma
Nakuomba kipenzi chunga sana
Maana wapo wasiopenda kutuona
Wakijipitisha kutwa kucha
Waambie kwangu umeshafika
Usidanganyike na zao pesa
Pamba na magari ni vya kupita
Wakijipitisha kutwa kucha
Waambie kwangu umeshafika
Usidanganyike na zao pesa
Pamba na magari ni vya kupita
x2
Samboira kuruse sumuka nevyeu ye kutaali (kutaali)
Jichunge mama
Katu sitopenda nikukose mpenzi wee
Samboira kuruse sumuka nevyeu ye kutaali (kutaali)
Jichunge mama katu sitopenda nikukose mpenzi wee