Hadithi ft. Mr. Mim Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2010
Lyrics
Hadithi ft. Mr. Mim - Alikiba
...
...............
ulinambia unanipenda sanah,nkusaidie roho yako
inadunda ukiniona,nikuhurumie
kwa mambo mengi ulinumiza roho,kwa uyaonayo
Tabia yangu pia ilikuvutia,ikawa ndo hivyo
Kama dhumuni ilikuwa mapenzi
kupendana dhati na cna penzi
kuna wazushi na wanafki siku hizi
mapenzi kweli bila irizi
Nami nadhani hukuniamini,
kwa yangu imani,sema na mimi bac (×2)
hadithi nahadithia (hadithi leo)
hadithi tamu
Dharau na matusi yote,nilivumilia
Wakiwemo marafiki wote wakishuhudia
Heshima ya mapenzi pale pale,japo hujaridhia
Ugomvi wetu faida usiwape,waliodhuhuria
Kama kupenda ni dhamir ni basi
Narudi zangu kwa mola ndo umebadhi
Kwani nahisi kama mi ni mkosaji
Nilipenda kwa mtoto wa kijiji
Nami nadhani hukuniami
kwa yangu imani sema na mimi basi (×2)
hadithi nahadithia(hadithi leo)
hadithi nahadithia (hadithi tamu)×4
(?)(?)