Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2020

Lyrics

Barua - Nacha

...

@iam_sneezy

Nyasubi ndani ya mbanyu

Kiri, wamemchokoza Bea

Kwako ndugu hii ni barua ya wazi

Barua yenye mambo kadhaa sio ya kuomba kazi

Salamu habari za mda huu

Husika ana kichwa cha habari hapo juu

Mi nilifunzwa kusimama pale napokwenda chini

Nilifunzwa kuacha kazi pale pindi pale anapoadhini

Huu uandishi zaidi ya Ngug'i wa Thiong'o

Share Bandra bahati ya uandishi wa Sigongo

Nami nasikia sina uhakika kuhusu uzembe

Jibu kubakia simba alafu kuikataa mazembe

Vilabu ni taasisi nembo zalisha pesa

Ubaya wa kumtegemea mwarabu akinuna anaposti Twitter

Waliloweka miguu wasisinzie wakariri sana

Michoro ya test-tube na bunsen burner

Elimu ni kupanua akili mawazo chanya

Wanachofeli ni kutegemea kusoma waje kufanya

Kila kitu ni fursa hii nchi ina vituko

Mwenye mvi alitemwa huko leo kapokewa hukoo

Kumkumbatia anayekufilisi

Ni sawa na kuozesha mgumba kwa kasisi

Na hii barua sio kitabu cha Wayahudi

Torati ya Musa au Zaburi ya Daudi

Msilie masista duu wabishi mliokataa umama ntilie

Leo una mpa heshima Shishi

Ka mlihisi ni dhawabu, mnajidanganya sasa

Pesa ya kamari kuchangia ujenzi wa madarasa

Barua hii bado ina kurasa nyingi

Endelea kusoma ndani utajifunza vingi

Ah-ah naomba msiniite mi nabii

Ambaye nimeshushwa kwa ukoo wa kizazi hiki

Ah-ah mi nimeandika tu barua

Na sina maana kama nafaa kuitwa Masii

Chonde naomba msiniite mi nabii

Sikuwa na lengo baya kuandika barua hii

La hasha sitaki kutukuzwa

Mwenye akili atasoma na mpuuzi atapuuza

Na bongo kazi kubwa ni ile ya kutafuta kazi

That's why niliweka nguvu kwenye kilimo na ufugaji

Mtachachawa si mlitaka sifa

Mlimeza vega power kwa lengo la kutibu kichwa

Dodoma mmh mmh kelele paka taabu

Kurushiana vijembe kama band za taarabu

Barua hii haina kusudi baya

Ina lengo la kujenga umoja sio kujigawa

Hii ni vita ya madaraja zaidi ya kibaka na afande

Huku EF apande kule Dodoma apande

Ni shirikisho team zetu ni vimeo

Ati kuingia kwenye kashfa ya kupanga matokeo

Hatuamini kwenye kufanikiwa wote

Mmoja afanikiwe mwingine fitna atoke

Hii ndio Bongo, ndio maana wanacheka mnapo

Nipeleka nikasomee udoctor veta

Ankali maziwa wananywea mseto

Umeshika darubini unataka kuiona pepo

Shughuli ni pevu hayawi uliyotabiri

Inabidi kuwe kwa kati kunoti albadiri

Au wana laana si katembea na bibi

Yaani ashura si kwa christmas si anakula Idi

Kutumia zaidi ya kile nachopata

Ni sawa na papi kuwa kiongozi wa bakwata

Eeh kakosea masharti ndio maana napagawa

Badala ya kuzioga gonjwa zikazinywa dawa

Tunzeni hii barua vizazi vitaisoma

Mtajiskia vibaya mkisoma mkachoma

Ah-ah naomba msiniite mi nabii

Ambaye nimeshushwa kwa ukoo wa kizazi hiki

Ah-ah mi nimeandika tu barua

Na sina maana kama nafaa kuitwa Masii

Chonde naomba msiniite mi nabii

Sikuwa na lengo baya kuandika barua hii

La hasha sitaki kutukuzwa

Mwenye akili atasoma na mpuuzi atapuuza

Nacha halii mesri mitaani hadi utamchoka

Nyihogo kwa mama njunju mwananyamala kwa kopa

Mi ni mpole mkinichukiza nawalaza hoi

Nawarushia makonde Nyasubi wananiita Konde Boy

Ondoa shaka, Nacha Dr Mwaka

Hii ni la TZ la dhamani kwa Kenyatta

Mlizoea kubebwa da leo bungi liko na gwanda

Fubegu itavunjika nyonga naacha winger toka danda

Nikifa nitakumbukwa Kasurwa hadi kibondo

Naacha pengo na historia zaidi ya Mbozi na Kibondo

Mnapewa crown na mnajua hamjafuzu

Yaani chupa ya bia mnabebea maji ya uzu

Kugwehana yamekukuta pole mpwa

Umejikula leba kisa majibu ya nectar

Akili za watoto siungi mkono

Ninyongewe haifai mwanangu nitizame pono

Hii barua sio chafu kwa iyo sina mashaka

Ukingoja muunganiko kumido mlevi wa bapa

Barua hii sio ya Wakorintho

Wala haina uwezo wowote wa kumrudisha Kristo

Ah-ah naomba msiniite mi nabii

Ambaye nimeshushwa kwa ukoo wa kizazi hiki

Ah-ah mi nimeandika tu barua

Na sina maana kama nafaa kuitwa Masii

Kiri Records!

(Lets take over the game)

Enjoy Synced Lyri

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status