Pombe Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2020
Lyrics
Pombe - Nacha
...
Hivi nyie mnalewa kweli?
Kitozo
Nashanga watu siku hizi wamekuwa waoga hamtaki kunywa pombe eti nyumbani hakuna mboga
Mi nakula ela kutokana na pombe zangu ah
mi nakunywa pombe kutokana na hela zangu
Ebu mleta mondee
Dada unasinziya piga talumbeta
Kata kiuno ntalipiaa
Na
Nusu n'gombe ugali ulo mwangia
Maisha menyewe mafupi
Usijali kula beer