Loading...

Download
  • Genre:Gengetone
  • Year of Release:2012

This song is not currently available in your region.

Try the alternative versions below.

Lyrics

Landlord - Mejja

...

Lyrics


Verse 1 

asubuhi imefika nimeamka bila balaa 

naweka mkeka chini napiga swala 

naenda zangu bafu kisha mambo safi 

navaa chini sneaker, juu navaa shati 

Keisha (kshksh!!).. sinanga marashi 

nakunywa kahawa nikiteremsha kaimati 

naskia kuna mtu anabisha mlangoni 

kuenda kufungua, ah katoto kajirani 

huwa kananipenda, ye hukuwa beshte yangu 

Mejja usisahau leo kuniletea madhafu 

leo ni lazima, redio inanibamba 

juu kila station inacheza genge mbaya 

juu nishashiba sa ni kuenda ku-hustle 

nikienda kutoka ndio nifungiwe mlango 

eh, jo, beste siamini 

napata mwenye nyumba na kifuli mkononi eeeh!


Chorus 

usiniharibie siku bana landlord 

umenifika kwenye koo eeeh! eeeh! eeeh!

wee ni tafash tu (×3)


Verse 2 

mwenye nyumba amekubali amenibamba kajioni 

za chukulia hata gomba juu leo niko mbioni 

napigia Omondi, si unitupie mkopo 

Mejja wee nasahau, si niko na deni yako 

wazi naenda kwa Vaite kuchukulia ketepa 

kuna matha ako mbele yangu amejibeba 

mi na yeye hapo natupa lugha 

ashaanza kudai imagine sijakula 

staki ajue mi hukula mandazi surwa 

tunakula Steers nanunua beer 

kisha zikimbamba anaanza kuniambia 

sikujui lakini nakutaka 

sana itisha taxi tena haraka 

kufika keja kwanza ni kushtuka 

tumekula Steers na hujalipa nyumba 

sijui kwa nini nimesahau kukumbuka eeeih!


Chorus 

usiniharibie siku bana landlord 

umenifika kwenye koo eeeh! eeeh! eeeh!

wee ni tafash tu (×3)


Verse 3 

sijiskii kuhama na sitaki more drama 

nishalipa nyumba ndio nikae kwa usalama 

alafu ni zile siku mtu haskiangi kutoka 

nimevaa vesti mi nimeng'ara boxer 

naskia genge longi zangu nikiosha 

eh jirani yangu jo hupendanga kuchoma 

Mejja si ukam hivi jo tuchome kimoja 

baadaye naenda mtaani kuchukulia mogoka 

siskii kukaa nje naenda kejani kuchonga 

natoa viatu najiekelea kwa sofa 

naeka movie yangu ndio nione nikichonga 

ikienda kubamba bana, blackout! 

landlord hakulipa bill 

na vile alikuwa ananispeedisha for real 

maji imekatwa, stima imekatwa 

hakuna tofauti na kuishi kwa kichaka eeee!!


Chorus 

usiniharibie siku bana landlord 

umenifika kwenye koo eeeh! eeeh! eeeh!

wee ni tafash tu (×3)

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status