Kanairo Dating Lyrics
- Genre:Gengetone
- Year of Release:2022
Lyrics
Kanairo Dating - Mejja
...
dating kanairo blanda weeh
dating kanairo blanda weeh
beats..mtoto wq khadija.
nilienda date (wacha tuh) na
manzi pyscho fyatu Kadem
kalikuwa kanasumbua nikajua
siku moja kataniua
nikapata mwingine Mali safi
lakini alikuwa na baby daddy
mtoto wake akaanza kuniita daddy
baby daddy tulishikana mashati
nikapata mwingine wa mahaga
alikuja kejani kuchapana (weeh)
huyo dame alikua anashtua tukimake love alikuwa anabonda sura
Eeh nimetafuta kila chuom
nimetafuta kila rima natafuta
mdenge hehehe weweee
nimetafuta kila chuom
nimetafuta kila rima wee natafuta
mdenge Kanairo dating blanda.