Siri ft. Vanessa Mdee Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2014
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Siri ft. Vanessa Mdee - Barnaba
...
Treni langu la kutongoza
Limefunga breki
Na kituo ndo wewe(ndo wewe kipenzi)
Sina mengi mimi
Sio mtoto wa mjini
Nimefundwa jandoni kipenzi
Hadithi hadithi uongo njoo
Haya nieleze porojo
Me bado ndogo
Hivi ni juzi ulikuja na maua (yes)
Ulikuwa na barua ila sikuifungua
Y? Ungesoma ndani
Ungejua vingi
Vile moyo wangu ulivyojawa na vigingi
Wewe una mme (nampenda)
Na me nna mke
Twaweza iba bado wasishitukie
Looo!!!
Kumbe muhuniiiii
Apo siwezi kushare penzi no wee
Kasoro yangu niniii
Si una mke yule amekosa nini
Oh uhh yeah oh uhh ah uh
Kwanza ningekuomba
Kipenzi ukubali
Tutafanya siri
Ya watu wawili
Utaniponza
Kwa jambo hili
Hamnaga siri
Ya watu wawili
Kama ukikubali
Nitakupa kagari
Na visalary
Utakuwa bonge la sistaduu
Alinifunza mama
Niogope wavulana
Nikae mbali
Nyie wabaya sana
Kwetu nyumbaniii
Tumekulia kwenye diniii
Penda wako nyumbani kwanza
Kisha unipende mimi
Aaah! Asante kwa muda wako
Nimependa majibu yako
Hivi nikuulize swali
(Niulize mimi)
Anavyotoka mumeo
Unajua mangapi anafanya
Ni muhuni(muongo)
Niseme nini(muongo)
Kila kitu (muongo)
Maneno yenu hayakuvuna pendo
Huna jipya muongo
Useme nini muongo
Maneno yako
Kibaya zaidi mke wako akijua
Kumbe muhuni
Apo siwezi kushare penzi na wewe
Si una mke yule amekosa nini
Oh uhh yeah oh uhh ah uh
Ukikubali
Nitakupa kagari
Na visalary
Utakuwa bonge la sistaduu
Alinifunza mama
Niogope wavulana
Nikae mbali
Nyie wabaya sana
Kwanza ningekuomba
Kipenzi ukubali
Tutafanya siri
Ya watu wawili
Utaniponza
Kwa jambo hili
Hamnaga siri
Ya watu wawili
Ukikubali
Nitakupa kagari
Na visalary
Utakuwa bonge la sistaduu
Alinifunza mama
Niogope wavulana
Nikae mbali
Nyie wabaya sana