Kiwembe ft. Lady Jaydee Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Kiwembe ft. Lady Jaydee - Joh Makini
...
ee h
asili in house
()?
Lady jaydee
Verse 1:
wananita mister mstarabu ninachongoja misa na nisababu
nishawekeza hisa ya hii dhahabu ndoa ndo imani msingi wa dhawabu
uwadilifu hauhofi wajibikaji usili ndio sera mama ya uwekezaji
usivujishe sivujishi maskani nyingi hatarishi (i wish) natamani ushindani usitoke nje
(i wish) tulivunjaga zamani hakuna ubishi jiko lipikalo maajabu enjoy mapishi
tamaa udhaifu mtaji uwaminifu na nguzo hii asipenye mchwa wala siafu
mmmmh
Match za kirafiki nimestaafu hapa ndio kikomo cha usaili
sihitaji mtu wa kati hii ni kati yetu si wawili leo nafanya usaili
leo nafanya usajili wa ligi ya maisha walishanita wakulipwa wa kimataifa
nishapiga nyingi ridhaa siko na manufaa leo timu yetu ni familia makini mamaa
vile nafaa umezaliwa super mi niongeze star uitwe (superstar)
ndo vile inakaa vizuri tuweke history wataka diss story mwambie mweusi ni poli (shorii)
Chorus
Joh makin:
Walishazushaga kunita kiwee kiwembee
sasa wametuliza mawee mawengee
umbea kwa vituo bamaga mwengee
habari ziko kwetu mnara wa mwengee
Lady Jaydee:
Walishazushaga kunita kichee kichechee
sasa wametuliza mawee mawengee
umbea kwa vituo bamaga mwengee
lelelelileeh...
Verse 2:
Sio kila kwangu ila kitu changu kizuri match ni kali naikaba mpaka kimvuli
sitaki fanya bahati siiti ngekewa uliponipo ndipo tilitakiwa kuwa
mamaa utakula vingi muuza alivo barikiwa
ndani ya moyo wako binti nagonga muhuli wa moto na moto yangu nimupe mapenzi moto moto
amka usiendelee kulala njoo timize ndoto ehe..
molani wa kweli hapa ndipo kataa mapito liver camp maskani ya kudumu
Yu makini Joh suka wa ili gurudumu platinum mzuri wa hii biashara sito kudhurumu
kula ata kama nyama ni mbichi nyama ishapenda roho
sikufichi mana utu izima dawa
uzohefu mwalimu mzuri na uzuri kwamba sijapagawa ni pendo ni pendo ka kalola kinasha
Gari umeniwasha binti we ni wa moto haswaa
girlmen hapa kuwa gentlemen napaswaa
Chorus:
Verse 3:
Nichomiliki hakinimiliki ila ninachomiliki kina haki miliki
walishazushaga kunitakiwee kiwembee