Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2022

Lyrics

Makasia - Joh Makini

...

Piga makasia hakuna mtu wakumpasia

(Piga makasia wewe)

Piga makasia hakuna mtu wakumpasia

( Piga makasia)

Piga makasia hakuna mtu wakumpasia

(Piga makasia wewe)

Piga makasia hakuna mtu wakumpasia

( Piga makasia)

Ati ooh wakubwa hawasaidii madogoo

Kumbukeni wakubwa walianzaga wadogo

Mara oh anabebwa na baba ake mdogo

Na baba ake mdogo

Turudi nyuma kidogo

Alianzaga pamoja na baba ako mdogo

So ni kama pale kwenu forcus ni ndogo

Face mattizo yako husiyape kisogo

Yaingilie kimbogo fikiria kifogo

Maumivu kidogo yanamalipo kidogo

Acha kuita watu mabisho bwana mdogo

Wakati hauwezi kua bishoo ata kidgo

Waliokata kuni ndo wanamiliki vigogo

Piga makasia hakuna mtu wakumpasia

( Piga makasia wewe)

Piga makasia hakuna mtu wakumpasia

( Piga makasia)

Piga makasia hakuna mtu wakumpasia

(Piga makasia wewe)

Piga makasia hakuna mtu wakumpasia

(Piga makasia)

Acha kutia huruma tia bidii

Acha kuleta lawama sio CV

Chuki zidi ya walifanikiwa haisaidii

Sioni vipi utabarikiwa kama haujisaidii

Ata bebe club zitakufanya uwe pamd

Juu pale Kaunta mzee uzungushi maround

Ukija shtuka walisepa watoto

Wana hawashiki sim kama za moto

Dawa ya moyo si nikweli ni moto

Lea watoto si ulipeleke moto

Wewe shida zina wenyewe uelewe

Maskini tajiri husilewe

Ukadhani za mwenzako ni ndogo kushinda zako wewe

Mtumbwi ukizama utazama wewe

Wewe

Piga makasia hakuna mtu wakumpasia

(Piga makasia wewe)

Piga makasia hakuna mtu wakumpasia

Piga makasia

Piga makasia hakuna mtu wakumpasia

Piga makasia wewe

Piga makasia hakuna mtu wakumpasia

Piga makasia

Piga makasia wewe

Piga makasia yoo

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status