Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2020

Lyrics

Rada - Guardian Angel

...

GUARDIAN ANGEL ~ RADA...


("Intro")


Ulivyo Leo hiyo niya leo

Huenda kesho iyo rada ibadilike

Matatizo ulio nayo(niyaleo)

Hizo shida ulizonazo(ni za Leo)

Huenda kesho iyo rada ibadike.


Rada ibadike (olala)

Rada ibadilike (olala)

Huenda kesho iyo rada ibadilike.×2



Wamekubadika majina

Wakakuita Nisha na shida hawajui kunaye anayepeana majina

Hawajui na hawatawai jua ni nini kesho Mungu amepanga na maisha yako

Cha muhimu ni we kujitambua na usonge na rada yake.

Hawajui na hawatawai jua ni nini kesho Mungu amepanga na maisha yako

Cha muhimu ni we kujitambua na usonge na rada yake.


Ulivyo Leo hiyo Ni ya leo

Huenda kesho iyo rada ibadilike

Matatizo ulio nayo(ni ya Leo)

Hizo shida ulizonazo (ni za Leo)

Huenda kesho iyo rada ibadilike

Rada ibadike (olala)

Rada ibadike (olala)

Huenda kesho iyo rada ibadilike

Rada ibadilika(olala)

Rada ibadike (olala)

Huenda kesho iyo rada ibadilike(olala)


Wanakusema Sema Sana we kazana Usichoke

Kupambana yote ukimwamini bwana story yako itabadilika

Walinisema hivyo hivyo hivyo hivyo

Hivyo ona sasa story yangu imebadilika

Aliyefanya hivyo hivyo hivyo hivyo

Hivyo kwangu mimi kwako pia atabadilisha.


Ulivyo Leo hiyo ni ya leo

Huenda kesho iyo rada ibadilike

Matatizo ulio nayo(ni ya leo)

Hizo shida ulizonazo (ni za Leo)

Huenda kesho iyo rada ibadilike

Rada ibadilike (olala)

Rada ibadilike (olala)

Huenda kesho iyo rada ibadilike (olala)

Rada ibadike (olala)

Rada ibadike (olala)

Huenda kesho iyo rada ibadilike (olala)

Rada ibadike (olala)

Rada ibadike (olala)

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status