Nishike Mkono Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2020
Lyrics
Nishike Mkono - Guardian Angel
...
uuuuuh uuuuh oh oh oh oooooooh!×3
Depression ni mtu gani huyo! na anatoka wapi? anamaliza watu wa mungu wanakwisha kila Siku...
ndoa za watu anazoretesha, kazi zao wanapotezaaa, baba naomba nishike mkono ukiniacha ataniangamiza.
chorus
adui mla waatu yupo! kazi yake ni kuiba kuua na kuangamiza ukiniacha mwenyewe kweli atanimaliza×2
naomba unishike mkono bwana(solo)
nishike mkono (eeh)nishike mkono bwana nishishike mkono×2
(nishike mkono bwana nishike mkono ukiniacha devil atanifinish completely)
nishike mkono (eeh)nishike mkono bwana nishishike mkono×2
ukiniacha ataniangamiza massiah(solo)
nishike mkono (eeh) nishike mkono bwana nishike mkono×2
walio soma walio na kazi wana mali wanapangwanishwa maisha yao yanakuwa funny depression wewe ni nani na unaletwa na nani kwa nini,wachana na watoto wa mungu wafanikiwe walio chini hata nao wainuliwe mpango was mungu kwa maisha yao itimie itimie eeh itimie
chorus
oh oh ooooh oh oh oohhh ooooohhh
nishike mkono (eeh bwana) nishike mkono bwana nishike mkono oooh×2