Nibariki Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2020
Lyrics
Nibariki - Guardian Angel
...
Kuna wakati ambao nilijona duni sana
Kuna wakati ambao nilijitharau sana
Kunawakati ambao niliona niko chini sana
Kumbee machoni pa Mungu tofauti sana Kumbee machoni pa Mungu tofauti sana
Kuna wakati ambao waliona shida kama wewe wataku cheka
Kuna wakati ambao uliothani ni marafiki wataku Toka
Kuna wakati ambao Utathani Mungu wako amekucha
Kumbee ya Mungu ni mengi ni mengi sana
Kumbee ya Mungu ni mengi ni mengi sana
Nimekibali ni bariki ni bariki niwa shuhudie
Nipe fedha ni miliki ni miliki nikutumikie Mungu wangu nibariki nibariki niwa shuhudie
Nipe fedha ni miliki ni miliki nikutumikie
Wata kutharau waki cheki Kibandani nakube yeye ame kuchora kiganjani kwani maisha yako yako duni namna gani
Na kube yeye amkuseti mpangoni ana kuta Kuja nenda nami mpaka mwisho kile leni
Hi blessing kamili maisha yangu family mentally financially emotionally physically
Hi blessing weka kamili maisha yangu family mentally financially emotionally
Nimekibali ni bariki nibariki niwashuhudie Nipe fedha ni miliki ni miliki ni kutumikie
Mungu wangu ni bariki ni bariki niwashuhudie
Nipe fedha ni miliki ni miliki niku tumikie