Nitetee Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Nitetee - Christopher Mwahangila
...
Nitetee Mungu, nitetee Baba
Nitetee Mungu wangu, Bwana
Nitetee Mungu, nitetee Baba
Nitetee Mungu wangu, Bwana
******
Nitetee Mungu wangu
Nitetee Mungu wangu
Nitetee Mungu wangu
Nitetee Mungu wangu
Nakuomba Mungu
***
Safari yangu imejaa vikwazo,
Safari yangu ina vita kubwa,
Safari yangu imejaa vikwazo,
Safari yangu ina vita kubwa,
Bila wewe Mungu, sitafika popote
Bila wewe Bwana,
Sitafanya chochote
Nitetee Mungu wangu
Nitetetee, Baba yangu wewe,
Nitetee Mungu wangu
Nitetetee, Baba
Oh nakuomba Mungu wangu wewe
Nitetee Mungu, (we Mungu) nitetee Baba (we Mungu Wa Mbinguni)
Nitetee Mungu wangu(We baba), Bwana(Nakuomba Mungu Wangu)
Nitetee Mungu, (Nakuomba Mungu Wangu) nitetee Baba (Nakuomba Baba)
Nitetee Mungu wangu(eh), Bwana(Bila Wewe Siwezi)
Nitetee Mungu, (Bila Wewe Siwezi) nitetee Baba (Siwezi pekeyangu Bwana)
Nitetee Mungu wangu(We baba), Bwana
***
Adui zangu wamenitegea, mitego mibaya
Lengo lao kwangu, wanataka waniangamize
Adui zangu wamenitegea, mitego mibaya
Lengo lao kwangu, wanataka waniangamize
Nitetee Mungu, Nitetee
Nitetee, Bwana wangu, pigana nao
Nitetee Mungu, Nitetee
Nitetee, Bwana, pigana nao
Matamanio yao kwangu, sio mazuri
Mawazo yao, sio mazuri
Mipango yao kwangu, sio mizuri
Wananitazama kwa macho mabaya
Nitetee Mungu wangu
Nitetee Bwana wangu, nakuomba Mungu wangu
Nitetee Mungu, (we Mungu) nitetee Baba (we Mungu Wa Mbinguni)
Nitetee Mungu wangu(We baba), Bwana(ninakuomba Mungu Wangu)
Nitetee Mungu, (ninakuomba Mungu Wangu) nitetee Baba (ninakuomba Baba)
Nitetee Mungu wangu(eh), Bwana(Bila Wewe Siwezi)
Nitetee Mungu, (Bila Wewe Siwezi) nitetee Baba (Siwezi pekeyangu Bwana)
Nitetee Mungu wangu(We baba), Bwana
***
Nimesikia minong'ono, ya adui zangu
Wengi wanasema, tuone atafika wapi?
Nimesikia minong'ono, ya adui zangu
Wengi wanasema, tuone atafanya nini?
Fanya kitu Bwana, wajue
Fanya kitu Bwana, wakutambue
Thibitika mbele yao, wajue
Thibitika mbele yao, wajue
Pigana nao, Bwana , Wajue
Nenda mbele yangu, Bwana
Nenda mbele yangu, nitetee Mungu wangu wee
Nitetee Mungu wangu
Nitetee Mungu, (we Mungu) nitetee Baba (we Mungu Wa Mbinguni)
Nitetee Mungu wangu(We baba), Bwana(Ninakuomba Mungu Wangu)
Nitetee Mungu, (Ninakuomba Mungu Wangu) nitetee Baba (Ninakuomba Baba)
Nitetee Mungu wangu(eh), Bwana(Bila Wewe Siwezi)
Nitetee Mungu, (Bila Wewe Siwezi) nitetee Baba (Siwezi pekeyangu Bwana)
Nitetee Mungu wangu(We baba), Bwana .
""""""+""""'"""