Loading...

Download
  • Genre:Afrobeats
  • Year of Release:2020

Lyrics

Hawezi Kukusahau - Christopher Mwahangila

...

....................

(oooh)

Bali na kwamba Daniel alikua katikati na simba wenye njaa kali...

(oooh)

Bali na kwamba shedrak na Abedinego walitupwa kwenye tanulu la moto...

watu wakajiuliza sana tulitupa watatu wanne ametoka wapi Asikali wakajiuliza tulitupa watatu wanne ametoka wapi.....

Kumbe ....katikati ya taabu Mungu yupoo

katikati ya mateso Mungu yupoo,

katikati ya taabu zako Mungu yupoo,

katikati ya vita kubwa Mungu yupoo,

hawezi kukusahau,hawezi kukukimbia,

Ooh Mungu wetu,, hawezi kukusahau.

(CHORUS)

Mungu haweezi,(Ooh Mungu Mungu) haweezi(Ooh Mungu Mungu) hawezi kukusahau

(hawezi kuacha ujifie mwenywe )Mungu hawezii,hawezi ,hawezi kukusahau) Usife moyo ndugu yangu weeeeh eeeh)

Mungu hawezi, (Oooh Mungu Mungu)hawezi hawezi, kukusahau,

usikate tamaa wewee) Mungu hawezi (usirudi nyuma)hawezi(usinung'unike)hawezi kukusahau

usijione uko pekee yako) aaaaaaaaaah...

.................

Kwanini umepanga kujiua we,

kwanini umepanga kuikana imani yako

kwanini umepanga kuenda kwa waganga wajeuri

umehangaika sana ndugu yangu

ooooh unaona kama dunia zima umeachwa pekee yako..unaona kama dunia zima umeachwa pekee yako..ninalo neno nataka kusema na wewe ninalo neno nataka kuzungumza na wewe.

Hata upitie shida ndugu yangu,

hata upitie magumu,ndugu yangu

Mungu yuko na wewe kati kati ya majaribu,

Mungu yuko na wewe kati kati ya magumu,

Mungu yuko na wewe usikate tamaa

Mungu yuko na wewe usipange kurudi nyuma,

Mungu weeeh,hawezi kukusahau,Mungu weeeh hawezi kukukimbia,Mungu weeeh hawezi kukuacha wee,, hawezi ,hawezi, hawezi mungu

(CHORUS)


Ninataka nikutie moyo mama yangu weeeh

ninataka nikutie moyo,baba yangu weeh

ninataka nikutie moyo ndugu yangu wewe


Mungu hawezi,hawezi kukusahau


Ninataka nikutie moyo, mama yangu wewe

ninataka nikutie moyo,baba yangu wewe

ninataka nikutie moyo, ndugu yangu wewe


Mungu hawezi kukusahau,

wanadamu wanaweza kukusahau lakini sio Mungu,lakini sio Mungu.

wanadamu wanaweza wakakukukimbia

lakini sio Mungu,lakini sio Mungu..oooh

wanadamu wanaweza wakakutenga

lakini sio Mungu

wanadamu wanaweza wakakukataa

lakini sio Mungu,lakini sio Mungu


Hawezi Mungu wangu, Hawezi Mungu wangu..


(CHORUS)

.......................

THANK YOU.



Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status