Mbele Yangu Naona Ushindi ft. Stewart Mwakasege Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Mbele Yangu Naona Ushindi ft. Stewart Mwakasege - Christopher Mwahangila
...
....mbeleyangu naona ushindi,mbele yang navona ushindi ,japo vita kwa sasa ni vikubwa naona ushindi japo maadui niwengi naona ushindi, mbele yangu naona ushindi japo vita kwasasa ni kubwa naona ushindi japo maadui nikweli yanayo katisha tamaa niwengi sana yanayo nifanya nishindwe nimengi sana,linatoka Hill lakuja lingineeee, laminitis ndani yang naskia musukumo kwamba mimi nimshindi,bado lipo tumaini kwamti ulio katwaaa kwamba unaweza ,unaweza chipuka tenda bado like tumaini kwamti uliokatwa kwamba unaweza unaweza chipuka tenda, name nitashindaa ,nazaidi yakushindaa..ooh mbele yang iiiee, mbele yang naona ushindi,yalikua yaameanguka,mbele yang naona ushindi,adui ameanguka, naburudika kwasasa