![Zaidi Yangu](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/06/03/5b67bbf4b6c54dad818f2783fc9e229c_464_464.jpg)
Zaidi Yangu Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2006
Lyrics
Zaidi Yangu - Alikiba
...
verse 1
si unaelewa wazi mimi ni kaka yako
so unapaswa ushike adabu yako vyiii
huyo ni shemeji yako na mimi hapa ni kaka yako
Soo unajifanya shababi wewe heieee wakati wewe ni mdogo wangu na huyu ni demu mimi ni demu wanguu inshallah jua mimi namuachia Mola kwani yeye ndiye anayejua anayepanga na kubomoa sasa
inshaallah jua mimi nimekulea mikononi umenichafua na nguo zako nimefua aaaa
je ni kufanye nini wewe mi nitakufanya nini wewe wewe mdogo wangu
chorus
sura yako inamadimpozi zaidi yangu
mwili wako unamvuto zaidi yangu
mwenye sex body kama tosline zaidi yangu uzuri wako umenifunika zaidi yanguu
sura yako inamadimpozi zaidi yangu
mwili wako unamvuto zaidi yangu
mwenye sex body kama kobi zaidi yangu uzuri wako umenifunika yeeiiiiie aiyeee
holaaalila ooayee mdogo wanguuu nooo aaaa mdogo wangu
verse 2
long time mama mjamzito kipindi kaka yako nilikuwepo wakati wewe mtoto haupo upo tumboni mwa mama yako kwa dua nyingi niliombaaa upate toka salama aaaa leo unanitukanaaa lakini mimi namuachia Mola sura nzuri watembea vizuri una macho mazuri unawadrive mashori unawataka shemeji zako wewee kweli mapenzi hayana mwenyeweee