Tuachane Mdogo Mdogo Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2018
Lyrics
Tuachane Mdogo Mdogo - Barnaba Classic (TZ)
...
Na spend muda na vavangaa
Najinadii kumbe wenzangu wana rambaa (ebo)
Kila kitu unatambaa
Wajigamba waniona dugagambaa
Nilipoteza mudaa, na ukaringa
Ukaniona mjingaa
Na umeharibu mipangoo
Nini spend muda kuwa chinii
Ili nikuwin umenitupaa ng'amboo
Kukupenda sababu
Moyo umeupa maumivu
Hata bila sababuu
Moyo umeupa ghazabuu
Kukupenda ndo sababuu wanipeleka
Putaputa wanipeleka
Kukupenda ndo wanipeleka
Putaputa wanipelekaaa eeeh
Tuachane mdogo mdogo
Na me nikwache mdogo mdodo
Ya nini marambano na zogo
Tuachane mdogo mdodo
Tuachane mdogo mdogo
Naminikwache mdogo mdodo
Ya nini marambanoo na zogoo
Tuachane mdogo mdodo
Ooh no no noo
Nahisi nimeonewa eeeeh
Kwa haya nilifanyiwa eeeeh
Penzi langu bembea eeeeh
Wamebembea wengineeee
Shimo mwenyewe nilichimba
Ndo linalonizika najiuliza…